Best African Low-Cost Airline Africas leading low cost airline 2016 winner shield Book Direct for the Lowest fares

Online Price Guarantee Book your ticket directly from www.fastjet.com to avoid extra fees

On board with fastjet

by
On board with fastjet

Flying with fastjet is a whole new experience for many, We recently sent fastjet employee Gladness Nahutwa on one of our flights to get the lowdown on what it's like to take to the skies with fastjet and show first time travellers and flyers what to expect.

Gladness took a flight from Dar es Salaam to Mwanza to experience the flight with fastjet, from  check in to boarding and landing. Her trip began at 0400 HRS as she was booked on the first fastjet flight (FN161) to Mwanza which departs at 0600HRS. This new service has been introduced for the benefit of our business passengers,  and is aimed at giving them a full day in their destination. 

Here is her account of the journey...

Unapowasili kwenye viwanja vya ndege, sehemu ya kwanza unayopaswa kufika ni kwenye ofisi za fastjet kwa ajili ya kupima mizigo yako. Kama mzigo umezidi ukubwa sana na huwezi ubeba mkononi, utalipia ada ndogo ya mzigo.

On arrival at the airport, the first area you should visit is the fastjet baggage office where you can weigh your bags. If your bag is too big to be carried onboard, you will be required to pay a small fee (8,000 Tshs) to check it in. 

fastjet Baggage Office


hiki ni kifaa kinachotumika kupimia mizigo midogo ya mkononi, kama mzigo wa abiria utaenea kwenye kipimo hiki, ataruhusiwa kusafiri na huo mzigo bure bila kulipia kwenye ndege zetu zote. Ukizidi abiria atalipia ada ndogo sana kwa ajili ya mzigo huo. Kila abiria anaruhusiwa kusafiri bure na begi moja tu la mkononi. Kumbuka kama unapanda na begi lako la mkononi ndani a ndege hutakiwi kuwa na kitu chochote cha majimaji (lotion au manukato) inayozidi 100ml maana begi lako litazuiliwa na kitengo cha ulinzi katikia viwanja vya ndege. Kwa maelezo zaidi juu ya ulipaji wa mizigo tembelea tovuti yetu; http://www.fastjet.com/tz/faqs/baggage.

This is a baggage gauge used to measure if your bag can to be carried onboard. If your luggage fits into this gauge then you can carry it free of charge onboard our flight. Only one piece of hand luggage is allowed per person. Remember if you are carrying a bag inside the aircraft it should not contain any liquids (perfumes or lotions) that exceed 100ml as this will not be allowed by the airport security. If your bag does not fit into this gauge then you need to check it in and pay a small fee. For more on our baggage rates, please read our Baggage Information.

Checking in...

Hili ni dawati la fastjet katika kiwanja cha ndege cha kimataifa Julius Nyerere, ambapo abiria huchukua kibali kitakacho mruhusu kusafiri na kulipa mizigo yake, Hii ni muhimu sana, kwasababu asipokuwa na hiki kibali hatoweza kusafiri.

This is the fastjet passenger check-in desk at Julius Nyerere International Airport. After checking and paying for baggage, this is the next point that each fastjet passenger reaches. Here you are provided with a Boarding Pass which is necessary in order to board the flight.

fastjet check in desk at Julius Nyerere Intl Airport

Feel refreshed...

Kwenye ndege zetu tuna aina ya vyakula na vinywaji vinauzwa kwenye mgahawa wetu wa angani (Café Sky) kwa bei nafuu sana. Hozea Hakim (picha ya kwanza) na Shekha Nassor (picha ya pili) wanaonekana wakitoa huduma ndani ya ndege. Abiria wetu wanapata fursa ya kuchagua aina tofauti ya vinywaji na vitafunwa kutoka kwenye menyu yetu inayopatikana nyuma ya kila kiti.

A variety of food and beverages are on sale in the SkyCafe onboard our flights, at very fair prices. Hozea Hakim (first photo) and Shekha Nassor are seen here performing in-flight service.  Passengers get to choose what to have from a fastjet Menu Card available at the back of every seat.

fastjet cabin crew Sky Cafe

On arrival...

Abiria wakiwasili Mwanza kutoka Dar es Salaam, wakiwa na nguvu na furaha nyingi. Asante kwa kuichagua fastjet. Usafiri ulio makini

fastjet passengers arrive very energetic and happy as they step off the plane in Mwanza. This is Smart Travel in 2013. 


fastjet arrival in Mwanza

Book now and experience fastjet for yourself

With fares starting from just 32,000 TShs one way excluding taxes and charges, book your next trip with fastjet. Check availabilty and book online now. www.fastjet.com/tz/

There is 1 comment

Big up FJ! You are on the right track in providing such transport service. Please keep it up!

Raymond

Add your comment

Please note, comments are moderated prior to appearing on the site, and will not appear straight away.