Best African Low-Cost Airline Africas leading low cost airline 2016 winner shield Book Direct for the Lowest fares

Online Price Guarantee Book your ticket directly from www.fastjet.com to avoid extra fees

Nyama Choma Festival 2017

by
Nyama Choma Festival 2017

Tanzania’s prime Nyama Choma Festival which was held on 5th of August brought together meat lovers for an afternoon and evening fun, music and relaxation.

Tamasha kubwa la uchomaji nyama lilifanyika tarehe 5 Agosti huku likiwakutanisha wapenda nyama muda wa mchana na jioni kwaajili ya kuburudika kwa pamoja.

The festival organized by Alta Vista Events and brought fans to a variety of great flame grilled meats plus electric live entertainment from a line-up of talented entertainers.

Tamasha hili lilipangwa na kampuni inayoitwa Alta Vista Events na liliwaleta pamoja mashabiki na wapenda nyama kujumuika pamoja na kufurahia nyama choma huku wakipata burudani mbalimbali kutoka kwa wanamuziki maarufu.

This year Efm and Tv, are one of proud partner of the event, who covered the whole event and aired the adverts on their radio station, TV as well as on their social media platforms brought a very big difference in the kind of audience who were attracted to the event.

Mwaka huu EFM na Tv, walikuwa ni moja ya kampuni amabazo ziliingia ubia na tamasha hili, na kazi yao kubwa ilikuwa ni kuchukua matukio yote na kuyarusha kwenye radio na tv yao pamoja na kurasa zao zote za mitandao ya kijamii. Kuwepo kwao kwenye tamasha hili mwaka huu limeweka utofauti mkubwa kwenye aina ya watu walioshiriki.

General Manager for E fm and E tv, Dennis Ssebo  , which its radio have decided to be the media sponsors for the first time, acknowledged that the events which took place on the 5th of Agust played an important role in EFM and ETV marketing strategy so they  will definitely continue with the partnership.

Meneja mkuu wa Efm na E tv, Dennis Ssebo,ambaye radio na tv yake iliingia ubia na tamasha hili kwa mara ya kwanza alikiri kwamba matukio yaliyotokea tarehe 5 ya Agosti yalikuwa muhimu katika mkakati wa masoko ya EFM na ETV hivyo bila shaka wataendelea na ubia huu walioanzisha.

“The Nyama partnership enables us to engage with the consumer in a way no other event does due to its unique target audience and experience that blends authentic Tanzanian culture. As A media partner this has made us get a platform of meeting part of the audience that we don’t usually meet in our other direct marketing events. “he said.

“Kuingia kwetu ubia na tamasha la Nyama Choma kumetuwezesha kukutana na wateja katika mfumo ambao tusingeweza kukutana nao katika tamasha la aina nyingine kutokana na upekee wa wateja ambao tuliwalenga na utamatuni wao. Kama chombo cha habari hii imetufanya kupata jukwaa ambalo limetupa fursa ya kukutana na wasikilizaji ambao hatuwezi kukutana nao katika matukio yetu mengine ya moja kwa moja ya masoko. "alisema.

It is a great platform for small businesses to also showcase their products and engage with potential customers. Big brands in the market also use this to enhance customer-Brand experience by holding different activations and promotions. The Nyama Choma festival is a family friendly event, which children are allowed for free during the day up to 7pm.

Ni jukwaa zuri kwa wafanyabiashara ndogondogo nao kuonesha bidhaa zao na kukutana na wateja wa muhimu. Mashirika makubwa pia wanatumia tamasha hili kukutana na wateja na kukuza mahusiano kati ya shirika na wateja. Tamasha la nyamachoma ni tamasha ambalo linajumuisha familia na marafiki pia watoto wanaruhusiwa kuanzia mchana hadi saa moja usiku.

At least 4000 kg of assorted meat I consumed in every edition. It is the biggest barbecue festival in East and Central Africa. 26th of August Nyama Choma festival will be taking place in Arusha, if any of our fastjetters would like to take part in this festival book for your flight now and be there.

Karibu kilo 4000 za nyama huchomwa katika kila tamasha. Hili ndio tamasha kubwa la uchomaji wa nyama Afrika mashariki na kati. Tarehe 26 Agosti Tamasha la Nyama choma litakuwa likifanyika ndani ya jiji la Ausha, kama kuna fastjetters watakaopenda kuhuduria wakati wa kufanya maandalizi yako ni sasa. Pata tiketi yak oleo na uweze kufurahia tamasha hili na wengine.

Add your comment

Please note, comments are moderated prior to appearing on the site, and will not appear straight away.