Best African Low-Cost Airline Africas leading low cost airline 2016 winner shield Book Direct for the Lowest fares

Uhakika wa bei kwenye mtandao Nunua tiketi yako moja kwa moja kupitia www.fastjet.com kwa ajili ya kuepuka ada za ziada

Mji unaoenda

Gundua njia zetu leo

fastjet inafanya safari zake kutokea viwanja vya ndege vitano Tanzania, ikihudumia vituo vya Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya na Zanzibar - huku nyingine nyingi zaidi ndani ya Afrika mashariki zikiwa njiani kuja. Tunasafiri kimataifa kutoka Tanzania kwenda Johannesburg, Lusaka na Harare. Na sasa tuna vituo viwili kutoka Harare kuelekea Victoria Falls na Johannesburg. 

Pitia vielelezo vyetu juu ya miji tunayokwenda kujua zaidi juu ya kanda na tazama kurasa zetu zinazoonyesha bei zetu nafuu uone jinsi unavyoweza kutumia vema mpango wetu wa bei nafuu za kustaajabisha.

Tumia fomu ya kununulia tiketi kuona uwepo wa ndege kwenye chaguo lako la uendako.

Viwanja vya ndege ndani ya mtandao wetu

Tanzania

DAR Dar es Salaam Uwanja wa ndege wa Kimataifa
JRO Kilimanjaro Uwanja wa ndege wa Kimataifa
MWZ Mwanza Uwanja wandege wa Kanda
MBI Mbeya Uwanja wa ndege wa Kimataifa
ZNZ Zanzibar Uwanja wa ndege wa Kimataifa

Afrika Kusini

JNB Johannesburg  Uwanja wa ndege wa Kimataifa

Zambia

LUN Lusaka  Uwanja wa ndege wa Kimataifa

Zimbabwe

HRE Harare Uwanja wa ndege wa Kimataifa
VFA Victoria Falls Uwanja wa ndege wa Kimataifa