Best African Low-Cost Airline Africas leading low cost airline 2016 winner shield Book Direct for the Lowest fares

Uhakika wa bei kwenye mtandao Nunua tiketi yako moja kwa moja kupitia www.fastjet.com kwa ajili ya kuepuka ada za ziada

Shirika Letu la Ndege

Shirika la ndege la bei nafuu Afrika...

Pamoja na mipango kabambe ya kulifanya shirika kuwa la kwanza barani Afrika, fastjet imeanzisha huduma zenye viwango vya kimataifa vya usalama, ubora, ulinzi na kuaminika ikiwa na 92% ya ndege zote kufika kwa wakati uliopangwa.

Ilianzishwa mwaka 2012, fastjet imeshasafirisha zaidi ya abiria 2,250,000 wengi wao karibu 20% wakiwa ni wale ambao wamesafiri kwa ndege kwa mara ya kwanza wakifurahia nauli ya bei nafuu kuanzia $36 ikiwa imejumuishwa na gharama za kodi. 

Bei nafuu inamaanisha kujiepusha na gharama zisizokuwa na msingi , ikitoza nauli nafuu kabisa kadiri inavyowezakana kama nyongeza kwenye mtindo wa‘lipia kadiri unavyosafiri’ (pay as you travel). Hii inamwezesha msafiri kuchagua kulipia huduma za ziada kama vile begi au viburudisho badala ya kuvilipia hata pale ambapo havihitaji.

Jinsi ambavyo mipango yako ya safari inaweza kuonekana…

Fastjet kuwa shirika la ndege la bei ya chini haimaanishi kuwa viwango vya huduma viko chini.. Licha ya changamoto nyingi zilizopo nje ya uwezo wetu, tutakuwa wawazi, waaminifu, wakweli na wenye kuwasiliana kuhakikisha kuwa mipango ya safari yako inaingiliwa kwa kiwango kidogo kabisa.

Falsafa yetu ni kwamba usafiri wa anga unatakiwa kuwa rahisi…

  • Tiketi zinaweza kununuliwa kupitia mtandao na simu ya kiganjani kwa kupitia mmoja wa mawakala wetu wa ndani au moja ya ofisi zetu za mauzo za kanda.
  • Mteja atachagua njia anayotaka kulipia tiketi yake
  • Mtandao wa www.fastjet.com utakuwa mtandao pekee kwa ajili ya mahitaji ya usafiri ya Afrika. ukitoa uwanja mpana wa maamuzi juu ya safari.
  • Nauli nafuu kabisa ziko kwenye mtandao
  • Unaweza kusimamia manunuzi yako ya tiketi mwenyewe, ukibadilisha tarehe ya kusafiri (kwa gharama zaidi) na kuchagua kiti chako (hii inakuja karibuni)

Tunaamini watu wetu wanafurahia ulimwengu mpya……

Sambamba na timu zetu za kikanda zilizojikita katika utendaji kazi na zilizofundishwa kutoa huduma za juu kabisa kwa wateja na wahudumu ndani ya ndege, tumepanga timu ya utawala ya kimataifa ambayo ina ujuzi wa usimamiaji, uhandisi na uendeshaji wa mashirika ya ndegeyenye gharama nafuu.

Tunawakaribisha kwenye ndege zetu…