Jinsi ya kulipia tiketi yako ya fastjet kwa kutumia pesapal

Lipia tiketi yako ya fastjet kwa kutumia pesapal. Kama hii ni mara yako ya kwanza kulipia tiketi yako kwa njia hii, tumekutengenezea njia rahisi kupitia video hii ambayo itakuonesha ni jinsi gani unaweza kufanya malipo. Angalia sasa.