Hiking up Kilimanjaro

10/19/2017 2:56:47 PM and

Here are 8 helpful tips you might need when hiking up Kilimanjaro.

Hizi ni dondoo 8 unazohitaji kujua unapopanda Mlima Kilimanjaro

1. Bring your own toilet rolls for emergency clean ups and cases where there isn’t any.

Njoo na karatasi laini kwaajili ya kujisafisha pale ambapo hazitakuwepo.

2. Keep hydrated with water and some Iodine or nuun tablets which help to purify water while you hike.

Jiweke mwenye nguvu kwa kunywa maji na tumia vidonge vya kusafisha maji pale unapokuwa unapanda mlima huu

3. Pack small items of entertainment, such as a deck of cards, a board game with a small box, a book or a camera for any spare time.

Beba vitu vidogovidogo vya kujiburudisha mfano karata au mchezo wa bao, kitabu au kamera ambavyo unaweza kuvitumia pale utakapopata muda wa ziada.

4. Pack hand warmers, these are great for cold temperatures and getting into the smaller areas of your body not just hands for example, feet, the lower back and even the neck area.

Beba vitambaa vyenye joto vya kujifutia mikono, hivi ni vizuri muda wa baridi. Pia ni rahisi kusafisha miguu na mgongo na shingo kwa kutumia vitambaa hivi.

5. Train beforehand. The temperatures are not the only ever-changing element on the mountain, the air is too. Prepare your lungs for these immediate changes, by taking walks around your area, taking a jog every second day or sign up for a marathon or two.

Yawezeshe mapafu yako kukabiliana na hali ya hewa tofauti, kumbuka sio hali ya hewa pekee ambayo hubadilika hewa pia hubadilika. Hakikisha unayatayarisha mapafu yako kwa mabadiliko haya, kwa kutembea, kukimbia au jiandikishe kushiriki mashindano kadhaa ya marathon.

6. Pay attention; to your body, your partner, your friends, your group and your guide, this will help foresee an threat before it occurs.

Uangalie kwa makini mwili wako, wa mwenza wako,  rafiki zako, grupu lako na muongoza njia hii itakusaidia kujua kama kuna kitu hakiko sawa kabla hakijatokea.

7. Get sleep; sleep is vital to your journey without it your body could face troubles in areas they should be used to, get enough sleep so that you remain at optimum efficiency.

Pumzika/Lala; Ni muhimu kulala au kupumzika unapokuwa kwenye safari kama hii sababu bila hivyo mwili wako unawez kupata matatizo hakikisha unalala ili kuupa mwili nguvu.

8. Thank those that help you; from your guides to your chefs to even those who summited this feat with you. This is often forgotten but without them, this journey could be a harder in fact impossible without their assistance and motivation.

Washukuru wale wanaokusaidia;

Kuanzia muongoza safari hadi wapishi hata wale ambao umepanda nao. Mara nyingi watu husahau kusema asante lakini bila hao safari yako ingekuwa ngumu zaidi au isingewezekana kabisa bila msaada wao na kukutia moyo