Best African Low-Cost Airline Africas leading low cost airline 2016 winner shield Book Direct for the Lowest fares

Uhakika wa bei kwenye mtandao Nunua tiketi yako moja kwa moja kupitia www.fastjet.com kwa ajili ya kuepuka ada za ziada

Vigezo na Masharti ya Matangazo ya fastjet

 • Kujiunga kuko wazi kwa wakazi wa Tanzania na nchi zilizochaguliwa isipokuwa waajiriwa wa fasjet (na familia zao), mawakala, na makampuni yeyote yanayofungamana na kampuni au kifungu chochote cha mashindano.
 • Wanaojiunga wote lazima wawe na umri wa miaka 18 na kuendelea.
 • Matumizi ya jina, anwani ya barua pepe au anwani ngingine yoyote bandia yatapelekea kuondolewa kwenye mashindano.
 • Kujiunga lazima kufanywe na mtu yule anayeingia kwenye mashindano.
 • Kujiunga lazima kufaniyke kupitia fomu iliyoko kwenye mtandao kwa kutumia njia zilizowekwa.
 • Mshindi atapatikana kutokana na washiriki wote kwa siku iliyotajwa kwa kila shindano.

Vigezo na masharti hapo juu vinatumika vyote na kama nyongeza kwenye vigezo na masharti kuhusiana na kila shindano kama ifuatavyo:

Shinda Siku Kamili ya Wapendanao

Halali kuanzia tarehe 24 Januari hadi 12 Februari 2014

 • Vigezo na masharti ya mashindano kwenye mtandao vinatumika.
 • Kwa wateja wanaonunua tiketi kati ya tarehe 24 Januari na 12 Februari 2014 tu. Ingiza namba ya kumbukumbu ya tiketi kwa uhakiki.
 • Tarehe ya mwisho wa shindano ni: Alhamisi tarehe 12 Februari saa 5: 59 usiku.
 • Kujiunga lazima kufanyike kupitia fomu kwenye mtandao wa fastjet. Namba ya kumbukumbu ya tiketi itatumika kuhakiki.
 • Zawadi ni: safari ya bure kwa watu wawili kati ya Dar es Salaam na Lusaka. Malazi kwa siku moja kwenye hotel ya Landmark Hotel Resort-Dar es Salaam, pamoja na chakula cha jioni kwa watu wawili kwenye Akemi Restaurant.
 • Safari lazima zifanyike tarehe 28th Februari 2014
 • Hoteli na chakula cha jioni lazima vitumike tarehe 14 Februari 2014.
 • Tiketi ni kwa mshindi peke yake na mgeni mmoja.
 • Tiketi haziruhusiwi kuuzwa au kutolewa kwa mtu mwingine.
 • Tiketi haziwezi kubadilishwa katika fedha.
 • Mshindi na mgeni lazima wawepo ili kutumia zawadi siku iliyotajwa.
 • Safari za kimataifa za fastjet zinaweza kupangwa kati ya Dar es Salaam, Tanzania na Lusaka, Zambia kwenye tarehe zilizotajwa hapo juu, kulingana na uwepo. Safari ya awali inaweza kuanzia Dar es Salaam kwenda Lusaka, lakini kwa vyovyote vile safari ya kurudi lazima iwe kwenye mwelekeo tofauti, yaani si halali kwa safari mbili za njia moja. Pia si kwa safari za sikukuu na tarehe nyingine. Maeelzo ya vikomo yanaweza kutolewa wakati wa kufanya mpango wa safari.
 • Pale ambapo kunatokea kutokuelewana, uamuzi wa fasjet utakuwa wa mwisho.
 • Fastjet inayo haki ya kubadilisha vigezo na masharti bila kutoa taarifa.
 • Zawadi itapoteza uhalali endapo haitadaiwa kabla ya tarehe 28 Februari 2014.
 • Ikihusisha, ingawa si hivyo tu, vigezo na masharti ya fastjet
 • Majina ya washindi yatachapishwa kwenye mtandao hapa

KATAZO LA MASHINDANO

Kujiunga kwote kunategemea vigezo na masharti ya mashindano. Kwa kujiunga unakubali kuwa fastjet inaweza kuingiza taarifa zako kwenye data base yake. Kwa kuingizwa kwenye database unakubali kupokea vijarida/ punguzo maalum kutoka fastjet kulingana na haki yako ya kujiondoa kirahisi muda wowote ukitaka. Kamwe hatutachangia taarifa zako na mtu wa tatu yeyote.

Vigezo na masharti ya mashindano kwenye facebook

 1. Mshiriki lazima awe mtumiaji wa facebook. Lazima pia apende ukurasa wa facebook wa fastjet.
 2. Njia ya kujiunga itatajwa kwa kila shindano. Njia halali ni zile zilizoelezwa, kama vile kutoa maoni, kuchangia au kuingiza anwani ya barua pepe.
 3. Mshiriki lazima akubali matakwa ya facebook Entrants email addresses are stored for 30 days within this database, after which time they are included on the mailing list or destroyed in a secure manner if the entrant has not selected to be included on the mailing list.
 4. Anwani za barua pepe za washiriki hutunzwa kwenye database hii kwa muda wa siku 30, muda ambao ukipita anwani zinaingizwa kwenye orodha ya mawasilano au kuharibiwa kiusalama kama mshiriki hajachagua kuingizwa kwenye orodha ya mawasiliano.
 5. Ili mshiriki aweze kusajiliwa anatakiwa akubali vigezo na masharti ya mashindano
 6. Mshiriki anaweza kujiunga na jarida kwa kutumia check-box…siyo sharti la kujiunga.
 7. Pale ambapo shindano halipo tafadhali tembelea www.fastjet.com/tz/win-flights-with-kupata njia mbadala
 8. Mshiriki lazima awe mpenzi wa facebook wakati wa kuchezwa shindano.
 9. Uamzi wa majaji ni wa mwisho.
 10. Mshindi atachaguliwa kutoka kwenye washiriki wote.
 11. Mshindi atapewa taarifa kupitia barua pepe aliyoingiza au aliyosajiliwa nayo.
 12. Pale inapowezekana, picha na maoni kutoka kwa washinda vinaweza kuchapishwa kwenye facebook, Twitter, na fastjet.com, kwa ruhusa ya mshindi.
 13. Washindi watachaguliwa kwenye tarehe iliyopangwa na kila shindano la facebook.
 14. Kushindwa kufuata vigezo na masharti yaliyowekwa kutamnyima mshiriki ushindi na mshindi mwingine atachaguliwa kutoka kwa washiriki.